Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mgonjwa anayepumulia mashine apelekwa katika ofisi za Kenya Power kisa ukosefu wa Umeme

Mgonjwa anayepumulia mashine apelekwa katika ofisi za Kenya Power.

Familia moja katike eneo la Mtwapa Nchini Kenya, imelazimika kumpeleka mgonjwa wao anayepumulia mashine katika ofisi za Kenya Power, wakidai ukosefu wa umeme kwa muda mrefu katika mtaa wao ni hatari kwake.

Familia hiyo yenye asili ya bara la Ulaya, imesema uamuzi wao unatokana na kuona ukosefu wa umeme unahatarisha maisha ya mgonjwa wao, ambaye anapaswa kutumia mitambo inayohitaji umeme kupumua.

Mradi wa umeme JNHPP wafikia asilimia 94.78

Wamesema, wanahitaji pia kufahamu kiini cha kupotea kwa umeme kila mara katika eneo lao, kwani hiyo imesababisha maisha yao kuwa magumu kutokana na shughuli nyingi za kiutendaji ndani mwao kukwaama.

Kukatika kwa Umeme, kumekuwa na athari kwa mataifa mengi ya Bara la Afrika, kukitokana na sababu mbalimbali ikiwemo uchakavu wa miundombinu, uhaba wa maji katika mabwawa yanayosaidia uzalishaji nk.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass