Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Bibi apoteza Mtoto wake wa kike, pamoja Wajukuu huku akibakiwa na mkwe tu Hanang

Ni vilio na Majonzi yakiwa yametanda katika familia ya Bibi Katarina Swaa, mkazi wa Murumba, aliyepoteza Mtoto wake wa kike, pamoja Wajukuu huku akibakiwa na mkwe tu.

Vifo hivyo vimetokana na Mafuriko ya maji na tope yaliyotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara usiku wa kuamkia desemba 3, 2023.

Bibi Katarina anasema alipigiwa simu kuhusu tukio hilo na kufunga safari kutoka Singida hadi mkoani Manyara, na kukutana na taarifa ambayo anasema imekuwa pigo kubwa maishani mwake.

“Ni pigo kwangu maana mimi ni mzee na hao wajukuu walikuwa wakija kwangu kulima mashamba yangu, kwa sasa nani atanilimia?”

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass