Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA UCHUNGU WA KWELI AMBAZO MAMA MJAMZITO AKIZIONA ANATAKIWA KWENDA HOSPTAL MAPEMA

?DALILI ZA UCHUNGU WA KWELI AMBAZO MAMA MJAMZITO AKIZIONA ANATAKIWA KWENDA HOSPTAL MAPEMA

➡️ Mjamzito

Dalili za Uchungu wa Kweli;

1.maumivu HAYAPUNGUI kadili muda unavyoenda,yanazidi kuchanganya


2.kukaza kwa Tumbo kunakuwa kunazidi kuwa karibu karibu zaidi yaan contractions zinakuwa Regular Zaidi.


3.kukaza kwa tumbo na kuachia kuna kuwa karibu karibu zaid,yaan contractions zinakuwa much Closer


4.Maumivu HAYAPUNGUI UKIBADILI POZI,yaani ukae,usimame,uruke ruke,maumivu yanakuwa PALE PALE.


5.Kutoka kamasi kamasi zenye damu(MUCUS PLUG),kifuniko cha cervix…. 6.Wengine uchungu wao unaanza kwa chupa kupasuka,leakage of water.


7.Maumivu yote hayooooo,Laazima njia iwe inafunguka,HAPO NDO TUNASEMA NI UCHUNGU KWELI.


N.B Especially Mimba ya kwanza,USIVUTE MUDA sijui mpaka uchungu uchanganye Sanaa,NENDA HOSPITALI MAPEMA

( NA uzazipoint)

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass