Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tatizo la macho kuto kuona mbali

 MACHO

• • • • 

Tatizo la macho kuto kuona mbali


Tatizo hili huwapata watu wengi kwa hivi sasa, na zipo dalili mbali mbali ambazo huonekana kwa mtu mwenye tatizo hili na ndipo uchunguzi wa kina wa macho yake hufanyika


DALILI ZA Tatizo la macho kuto kuona mbali NI PAMOJA NA;


✓ Mtu kuona marue rue au kutokuona vizuri kwa vitu ambavyo vipo mbali, ila vitu vya karibu huviona vizuri


✓ Mtu ili aone vizuri kitu ni mpaka akonyeze macho yake ndyo huweza kuona


✓ Kupata maumivu ya kichwa


✓ Mtu kutokuona vizuri hasa wakati wa usiku akiwa anaendesha gari yaani night myopia

N.k


MATIBABU YA Tatizo la macho kuto kuona mbali


– Mgonjwa mwenye shida hii huweza kupewa miwani yenye lense sahihi kwake baada ya kupimwa macho


– Mtu kufanyiwa upasuaji wa macho ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Refractive Surgery


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.