Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA KUCHA KUWA NGUMU KAMA BATI

 KUCHA

• • • • • 

CHANZO CHA KUCHA KUWA NGUMU KAMA BATI


Tatizo hili huhusisha kucha kuwa nene na ngumu kupita kawaida, je chanzo chake ni nini?


CHANZO CHA KUCHA KUWA NGUMU KAMA BATI


– Moja ya sababu ya tatizo hili la kucha kuwa ngumu kupita kawaida ni pamoja na;

✓ Maambukizi ya Fangasi ambayo hujulikana kwa kitaalam kama ONYCHOMYCOSIS,


Maambukizi ya YEAST n.k


✓ Kuumia kwenye kucha mara kwa mara, tatizo ambalo huwapata sana watu wa michezo kama vile; Wachezaji wa mpira wa Miguu n.k


✓ Yellow nail syndrome, tatizo ambalo husababisha kucha kubadilika rangi na kuwa manjano na hatimaye kucha kuanza kujikunja na kuwa nene


✓ Matatizo kwenye mfumo wa kinga ya mwili yaani Autoimmune disorder kama vile PSORIASIS,

huweza kusababisha kucha kuwa na mikunjo pamoja na kuwa ngumu


✓ Tatizo la kwenye ngozi kama vile Paronychia ambalo husababisha wekundu kuzunguka kucha pamoja na Kuvimba


✓ Pia tatizo hili la kucha kuwa Ngumu huwapata sana watu ambao wana Umri mkubwa


MATIBABU YA TATIZO LA KUCHA KUWA NGUMU

– tiba ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake,Mfano kama chanzo ni maambukizi ya fangasi,basi mgonjwa hupewa dawa za fangasi N.k



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.