Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YANAYOWEZA KULETWA NA SHINIKIZO LA DAMU

MADHARA YANAYOWEZA KULETWA NA SHINIKIZO LA DAMU

Yapo madhara mbali mbali ambayo huweza kutokana na shinikizo la damu na madhara hayo ni pamoja na;

– Kuziba kwa mishipa ya ATERI kwenye moyo na ATERI ziendazo kwenye ubongo

– Mtu kupatwa na tatizo la Shambulio la moyo yaani heart attack

– Mtu kupatwa na Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea

• kuzimia

• Ugonjwa wa kibofu cha mkojo

• Kiharusi

• Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa Wanaume

• Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu n.k

KUMBUKA:

Chumvi husababisha shinikizo la damu na kila mtu anashauriwa kula vyakula
vyenye chumvi kidogo.

Dr.Batmanghelidj ambaye aliandika kitabu chake huku akielezea kwa kina kuhusu shinikizo la damu alifanya tafiti mbali mbali Wakati akiwatibu wagonjwa wake, anasema;

ikiwa watu watajishughulisha na mazoezi hasa mazoezi ya
kutembea kwa miguu,

watakunywa maji halisi zaidi na kutumia chumvi kidogo kwenye vyakula vyao mashinikizo yao ya damu yatarudi katika hali yake ya kawaida.

Kutumia chumvi sana kwenye chakula kunasababisha shinikizo la damu (BP) kuwa sehemu ya maisha yetu, tutapata nafuu, lakini baada ya muda mfupi hali hurudi ileile na pengine kuwa watumwa wa
kuchagua kula hiki au kile.

Tofauti na zamani ambapo shinikizo la juu la damu lilipokuwa ni ugonjwa wa watu wazima(wazee), wanene au wenye uzito uliozidi pekee, siku hizi wanene kwa wembamba, watoto kwa wakubwa wanaugua BP.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.