Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADINI YA ZINC NA UIMARA WA MBEGU ZA KIUME

MADINI YA ZINC NA UIMARA WA MBEGU ZA KIUME,

Watu wengi hawafahamu kwamba madini ya Zinc ni muhimu sana kwenye ubora wa mbegu za kiume,

nikiwa na maana ya ubora wa mbegu za kiume yaani sperms kwenye vitu hivi hapa;

– Kuongeza Speed ya mbegu za kiume

– Kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kiume yaani sperm count,na kuepuka matatizo kama vile Low sperm count n.k

– Na hata kuongeza uwezo wa mbegu za kiume katika urutubishaji wa yai yaani Fertility ability.

Madini ya ZINC unaweza kuyapata kwenye vyakula mbali mbali kama vile nyama,samaki,dagaa,mayai n.k

Pata zinc kwa wingi na boresha afya yako ya uzazi.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.