Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MNYONYESHE MTOTO MAZIWA YA MAMA ACHA KUKIMBILIA MAZIWA YA KOPO

MNYONYESHE MTOTO MAZIWA YA MAMA ACHA KUKIMBILIA MAZIWA YA KOPO

Kumeibuka tabia ya wakina mama wengi hivi sasa kuwa wavivu wa kunyonyesha watoto wao na kuanza kukimbilia maziwa ya Kopo,

Hii sio afya kabsa kwa mtoto wako, kumbuka maziwa ya mama ndyo chakula pekee chenye virutubisho vyote(first class) na kinga ya kutosha dhidi ya magonjwa yote kwa mtoto wako,

Kinga ya mtoto dhidi ya magonjwa huwa ndogo sana hasa kwenye miezi mitatu(3) ya mwanzoni baada ya mtoto kuzaliwa,

Lakini maziwa ya mama pekee ndyo huweza kutoa kinga au kuimarisha kinga ya mtoto kwenye kipindi chote hiki,

HIVO BASI,Kama wewe ni mjanja utakimbilia maziwa ya mama(kunyonyesha) na sio maziwa ya kopo kama unataka mtoto wako kuwa na afya bora.

Kumbuka; Unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni wa miaka 2 au 3 ukiweza,lakini miezi sita ya mwanzoni(6) baada ya mtoto kuzaliwa hupewa maziwa ya mama peke yake bila kuchanganyiwa na kitu kingine chochote kwa kitaalam EXCLUSIVE BREASTFEEDING.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.