Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA IDIOPATHIC BILATERAL FACIAL PALSY

TATIZO LA IDIOPATHIC BILATERAL FACIAL PALSY

Picha:Huyu dada harembui wala hakutamani ila ana tatizo la Idiopathic Bilateral Facial Palsy.

Hili ni tatizo ambalo mishipa ya fahamu inayofanya misuli ya uso ifanye kazi KUPARALAIZI.

Mara nyingi tatizo hili huwapata sana kinadada na kisababishi hua hakijulikani kwa wagonjwa walio wengi.

Yapo pia baadhi ya magonjwa ambayo yameonekana kuleta hali kama hii.

Magonjwa hayo ni kama ugonjwa wa Lyme, GBS; IBS,HIV,kisukari, saratani ya damu, kaswende, sakoidiosisi, homa ya ubongo, syphilis, kribatumbo,ugonjwa wa kubusu,ajali mbaya ya kichwa na tatizo la mobius.

Kwa hio ndugu yangu ukiona mtu anakurembulia kila wakati bila sababu usichukulie poa kwani huenda ikawa anaumwa ugonjwa wa Idiopathic Bilateral Facial Palsy,

cha kufanya usianze kumtongoza bali mshauri aende hospitali haraka sana kwa ajili ya matibabu. Tatizo hili lina msaada stahiki

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.