Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAGONJWA YANAYOWASUMBUA WANAUME

MAGONJWA YANAYOWASUMBUA WANAUME

Haya ni baadhi ya magonjwa ambayo huwasumbua Wanaume zaidi, na kwa upande mwingine haya ndyo magonjwa ambayo huchangia idadi kubwa ya Vifo kwa Wanaume Duniani kote.

1. Magonjwa ya moyo(heart diseases) ikiwemo; Coronary artery disease n.k

2. Kansa au Saratani, hapa nazungumzia saratani kubwa mbili ambazo huwasumbua Zaidi wanaume;

• Saratani/Kansa ya mapafu(Lung cancer)

• Saratani/Kansa ya tezi dume(prostate cancer)

3. Tatizo la kiharusi au STROKE

4. Shida ya chronic obstructive pulmonary disease

5. Tatizo la Pneumonia, pamoja na shida ya Influeanza hasa kwa wenzetu wenye ngozi nyeupe

6. Ugonjwa wa Kisukari au kwa kitaalam hujulikana kama Diabetes

7. Magonjwa au Matatizo ya figo yaani kidney diseases,kidney failure n.k

8. Matatizo ya Ini ikiwemo; chronic liver diseases, Liver Cancer,Bile duct cancer,Cirrhosis,Liver failure n.k

9. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,Uume kushindwa kusimama vizuri(erectile dysfunction) pamoja na matatizo mengine yanayohusu uzazi kwa wanaume kama vile,

tatizo la kuwa na mbegu chache(low sperm count), kiwango kidogo cha hormone ya kiume(low testosterone level) n.k

10. Pia sababu hizi hapa chini huchangia kwa kiwango kikubwa kuleta madhara kwenye mwili wa mwanume;

– Ajali za aina mbali mbali

– Mwanaume kujitoa mhanga(Suicide)

– Tatizo la msongo wa mawazo n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.