Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

USHAURI KWA WATU WANAOPENDA MAZOEZI ILA WANA MATATIZO HAYA

USHAURI KWA WATU WANAOPENDA MAZOEZI ILA WANA MATATIZO HAYA

Nimeona nikudokeze hili,Kama una matatizo kama vile Pumu, magonjwa ya moyo, eczema au magonjwa yoyote yanayoathiri mfumo wa hewa,

Unashauriwa kuongea na wataalam wa afya ili wakupe maelekezo mazuri jinsi ya kufanya mazoezi yako,

KUMBUKA; mazoezi ni afya, fanya mazoezi kwa ajili ya afya yako,

Jikinge na magonjwa mbali mbali kama vile;

– Ugonjwa wa kisukari

– Magonjwa ya Moyo

– Tatizo la Presha

– Uzito kuwa mkubwa zaidi n.k

Tenga muda angalau wa dakika 30 au Nusu saa kila siku kwa ajili ya kufanya mazoezi,

Hasa wewe ambae kazi zako ni za kukaaa kwa muda mrefu.

Asante kwa kunielewa…..!!! ???

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.