Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA KUTOKWA NA MAJI YENYE HARUFU MBAYA UKENI(mwanamke)

 UKE

• • • • • •

TATIZO LA KUTOKWA NA MAJI YENYE HARUFU MBAYA UKENI(mwanamke)


Tatizo hili la kutokwa na maji yenye harufu mbaya hutokea kwa wanawake wengi, huku wengi wao wasijue cha kufanya kutatua shida hii na wengine wakiona ni kawaida hali itakaa sawa.


maji haya huweza kutoka kila mara hadi kuwa kero kwa mwanamke


CHANZO CHA TATIZO LA KUTOA MAJI YENYE HARUFU MBAYA UKENI


– Kwa asilimia kubwa chanzo kikubwa cha tatizo hili ni maambukizi ya magonjwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani PID,


japo pia baadhi ya magonjwa kama fangasi ukeni,saratani ya shingo ya kizazi n.k huweza kuchangia pia


– Lakini pia mabadiliko ya gafla ya vichocheo mwilini huweza kusababisha kiwango cha maji ndani ya uke kuongezeka,ingawaje maji haya hayawezi kuwa na harufu mbaya.


Kama una tatizo hili la kutoa maji yenye harufu mbaya nenda hospital kufanya vipimo,kisha anza matibabu


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.