Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YA MINYOO MWILINI

 MINYOO

• • • • 

MADHARA YA MINYOO MWILINI


Baada ya mtu kuingiwa na minyoo kwenye mwil wake huweza kupata madhara haya yafuatayo;


1. Tatizo la kupungukiwa na damu mfano; baada ya kushambuliwa na minyoo aina ya Hookworms


2. Kupata maumivu makali ya tumbo


3. Mtu kuanza kukonda na uzito wa mwili kupungua kwa kasi sana


4. Mtu kupoteza kabsa hamu ya kula hasa kwa watoto wadogo


5. Mtu kuchoka kupita kiasi


6. Tumbo kujaa gesi sana mara kwa mara


7. Tumbo kunguruma mara kwa mara


8. Mtu kuanza kuharisha


9. Kupata kichefuchefu mara kwa mara


10. Kupata tatizo la kutapika mara kwa mara


11. Mtu kuanza kuwashwa sana mwilini


Minyoo huingia mwilini kwa njia mbali mbali kama vile kupitia; chakula unachokula, kwa kula udongo, Kutembea peku bila viatu n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.