Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

BAADA YA KUTAPIKA SANA PAMOJA NA KUHARISHA(Ushauri)

BAADA YA KUTAPIKA SANA PAMOJA NA KUHARISHA(Ushauri)

Kwa watu wa umri wowote(watoto,vijana kwa watu wazima),baada ya kupata shida ya kutapika sana au kuharisha sana,

Moja ya vitu ambavyo hupungua sana mwilini ni pamoja na maji,

Maji hupotea sana mwilini wakati unatapika,kuharisha,Kuvuja jasho sana n.k

USHAURI;

Hivo unashauriwa kupata Vitu vyenye maji zaidi ili kusaidia kurudisha(replace) kiwango cha maji kilichopotea mwilini,

Vitu hivo ni pamoja na maji yenyewe(kunywa maji ya kutosha), Juice za matunda, matunda yenyewe kama vile tunda la tikiti maji n.k

• Epuka matumizi ya vinywaji kama vile pombe

• Epuka matumizi ya chumvi nyingi kwenye chakula

• Hakikisha unapata mlo kamili, mlo wenye virutubisho vyote kwa kiwango kinachohitajika Mwilini.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.