Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Wakati mwingine watu hula sana usiku kwa sababu wamechoka(bored)

Wakati mwingine watu hula sana usiku kwa sababu wamechoka(bored)

Ikiwa ni wewe, jaribu kujihusisha katika shughuli fulani kabla ya kulala, kama vile;

Kutembea kidogo, kuandika habari, kuzungumza na rafiki, au kusoma kitabu kunaweza kukusaidia kuacha kula kupita kiasi.

FAHAMU; Katika mfumo wa Lishe bora,usiku sio wakati sahihi wa kula mavyakula mengi sana halafu unaenda kulala muda huo huo.

Unatakiwa kula kiasi, na usiende kulala muda huo huo baada ya kula chakula.

Na kama unataka kupata Full Diet Plan kwa kila siku, au una tatizo la Uzito mkubwa na unataka kupunguza. Bofya hapa

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.