Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Dalili za Ugonjwa wa Homa ya Mgunda(Leptospirosis)

Dalili za Ugonjwa wa Homa ya Mgunda(Leptospirosis)

Hizi hapa chini ni Baadhi ya Dalili za Ugonjwa huu wa Homa ya Mgunda ambao kwa Kitaalam hujulikana kama Leptospirosis.

1. Kupata Homa Kali

2. Kuumwa na kichwa au kupata maumivu ya kichwa

3. Kupata maumivu ya misuli

4. Kupata uchovu wa mwili

5. Kupata rangi ya manjano hasa kwenye macho

6. Macho kuvilia Damu

7. Kukohoa

8. Kutokwa na Damu Puani

9. Kupata kichefuchefu,Kutapika,

10. Kuharisha, na Tumbo Kuuma.

11. Mwili kuishiwa na nguvu n.k

SOMA ZAIDI HAPA; Ugonjwa huu wa Homa ya Mgunda

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.