Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Usitumie simu Usiku Kama Una tatizo la Kukosa Usingizi

Usitumie simu Usiku Kama Una tatizo la Kukosa Usingizi

• • • • •

MWANGA WA SIMU AU COMPUTER NA KUKOSA USINGIZI

Je una tatizo la kukosa usingizi alafu unatumia sana simu au computer  wakati wa usiku?

watu wengi hawafahamu kwamba mwanga wa simu,laptoop au Computer huweza kuwa sababu tosha ya kusababisha usipate usingizi.

Mwanga wa Simu,laptoop,computer au vifaa vingine jamii ya hivi huwa na athari mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuathiri uwezo wa macho kufanya kazi endapo utatumia kwa muda mrefu sana

MWANGA WA SIMU AU COMPUTER NA KUKOSA USINGIZI

– Mwanga wa simu,laptoop,computer N.K huweza kuzuia uzalishwaji wa Kichocheo cha usingizi ambacho kwa kitaalam hujulikana kama Melatonin hormone pamoja na kudhoofisha ufanyaji kazi wake na kusababisha tatizo la kukosa usingizi kabsa kwa mtumiaji wa vifaa hivi.

Hivo matumizi ya simu,laptoop,computer N.K wakati wa usku huweza kuwa chanzo kimojawapo cha tatizo la mtu kukosa usingizi,

Zima simu,laptop,computer au vifaa vinavyofanana na hivi wakati wa usiku,ili kukusaidia kupata usingizi kama una tatizo la kukosa Usingizi.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.