Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Je! miguu huwaka moto? Huenda huna vitamini B12

Je! miguu huwaka moto? Huenda huna vitamini B12

mishipa yako inaihitaji ili kuwa na afya, Hivo kama una tatizo hili la miguu kuwaka moto wakati mwingine ni upungufu wa virutubisho muhimu mwilini kama vile Vitamin B12 n.k

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO CHANZO CHAKE,

Tatizo hili huwapata watu wengu sana,na hizi hapa chini ni baadhi ya sababu za tatizo hilo;

1. Kuwa na tatizo la kisukari au Diabetes

2. Tatizo la Peripheral neuropathy ambapo nerves zinazounganisha uti wa mgongo(spinal cord) kwenda miguuni na mikononi huharibiwa,

chanzo cha kuharibika kwa Nerves hizi ni pamoja na;

– Ugonjwa huu wa Kisukari

– Matumizi ya dawa za Kansa(cancer drugs au huduma ya chemotherapy)

– Tatizo la Figo kufail yaani Kidney failure

– Magonjwa ambayo ni autoimmune diseases kama vile Rheumatoid arthritis n.k

– Uwepo wa toxic chemicals mbali mbali

– Maambukizi ya vimelea mbali mbali vya magonjwa

– Pamoja na matatizo kwenye lishe yaani nutrition problems.

3. Unywaji pombe kupita kiasi,pombe ina madhara mengi sana mwilini ikiwemo hili la kuharibu kabsa nerves zinazounganisha miguuni, na kusababisha tatizo la miguu kuwaka moto

4. Tatizo la Athlete’s foot au Tinea pedis ambapo huhusisha mashambulizi ya fangasi miguuni ikiwemo kati kati ya vidole vya miguu na kuleta hali ya muwasho sana na miguu kuwaka moto

5. Upungufu mkubwa wa Vitamins hasa Vitamin B12 n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.