Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Jenga Tabia ya kujitengenezea JUICE mwenyewe ukiwa nyumbani kwako

Jenga Tabia ya kujitengenezea JUICE mwenyewe ukiwa nyumbani kwako

Kumbuka: Naturaly Diet is good for Health than any other Diet.

FAIDA ZA JUICE YA KUTENGENEZA MWENYEWE

hizi hapa ni baadhi ya Faida ambazo unazipata kwa kujiandalia juice yako mwenyewe.

Kwanza kabla ya maandalizi,hakikisha mazingira yote ya uandaaji wa juice yako ni masafi,ikiwemo vifaa vya kuandalia(vyombo) n.k Pamoja na ww mwenyewe kuwa Safi.

FAIDA ZA JUICE YA KUTENGENEZA MWENYEWE

– Unaweza kutengeneza kwa muda wowote unaotaka wewe

– Huwa ni juice asilia kabsa ambayo haina Kemikali za aina yoyote kutoka Viwandani

– Huweza kukupatia virutubisho vyote kama ukitengeneza kwa kufata utaratibu wa Lishe bora,

Hapa nazungumzia virutubisho kama vile; Vitamins, Madini Chuma, Proteins, n.k

– Husaidia sana kwenye kupunguza Lehemu(cholestrol) Mwilini

– Ni muhimu sana kwa watu wenye magonjwa ya kudumu kama vile presha,kisukari,vidonda vya tumbo n.k

– Husaidia sana kwenye umeng’enyaji wa chakula tumboni, bila kuongeza kemikali ya aina yoyote. N.K

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.