Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KITOVU CHA MTOTO HUDONDOKA BAADA YA MUDA GANI?

 KITOVU CHA MTOTO

• • • • •

KITOVU CHA MTOTO HUDONDOKA BAADA YA MUDA GANI?


Kitovu cha mtoto hutakiwa kudondoka chenyewe bila mtu kukilazimisha wala kuweka kitu chochote kwenye kitovu cha mtoto.


Kwa watoto wengi,kitovu cha mtoto hudondoka ndani ya wiki moja baada ya mtoto kuzaliwa.


MAMBO YAKUZINGATIA


– usiweke kitu chochote kwenye kitovu cha mtoto


– Hakikisha kitovu kilifungwa vizuri wala hakitoi damu au usaha baada ya mtoto kuzaliwa


– Kitovu cha mtoto hudondoka chenyewe bila kulazimishwa



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASIILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.