Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

 FANGASI SEHEMU ZA SIRI

• • • • •

USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI


Miongoni mwa fangasi ambao hushambulia sana maeneo ya sehemu za siri ni pamoja na fangasi jamii ya Candida Albicans.


USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI


– Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo zina unyevu unyevu kila mara

– Tambua kwanza dalili za ugonjwa wa fangasi kabla ya matibabu, na dalili hizo ni kama vile;

      Miwasho sehemu za siri

      Kutokwa na uchafu wenye rangi na mzito kama maziwa mgando

          Ngozi ya sehemu za siri kubadilika rangi na kuwa Nyekundu

         Kupata michubuko au vidonda sehemu za siri


– Epuka kufanya tendo la ndoa na mtu mwenye dalili za fangasi wa sehemu za siri mpaka apate tiba


– Miongoni mwa matibabu ya fangasi sehemu za siri ni pamoja na matumizi ya dawa kama vile; Clotrimazole cream ya kupaka pamoja na vidonge sita vya kudumbukiza ukeni


– Kutana na wataalam wa afya kwa ajili ya uchunguzi na kuanza tiba sahihi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.