Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Ebola

Jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Ebola

Ebola ni hatari lakini BADO inaweza kuzuilika

1. Dumisha usafi wa mikono kila wakati, kwa kunawa na sabuni pamoja na Maji Safi kila wakati

2. Dumisha mazingira safi ikiwemo usafi wa vyoo pamoja na mabafu yakuogea

3. Osha nguo na vyombo mara kwa mara kwa sabuni na maji safi ili kujikinga na Ugonjwa wa Ebola

4. Epuka kushika maji maji,damu,jasho,mkojo,kinyesi,au matapishi kutoka kwa Mgonjwa mwenye dalili za Ebola

5. Epuka kushika au kugusana na Wanyama waliofariki bila kuvaa kinga kama Gloves n.k

6. Epuka kugusana,kula pamoja,kushika nguo au mashuka ya mgonjwa mwenye dalili za Ebola bila kujikinga kwanza

7. Ukiona una dalili ambazo huzielewi wahi hospital, au Ukiona mtu mwenye dalili za Ugonjwa wa Ebola Toa Taarifa Mapema.

SOMA ZAIDI HAPA: Kuhusu Ugonjwa Huu wa Ebola,chanzo,dalili,jinsi unavyoambukizwa n.k

#Mlipuko wa Ebola #Uganda

#Ebola is deadly YET preventable

1. Maintain good hand hygiene at all times

2. Maintain a clean and hygienic environment

3. Regularly wash clothes and utensils with soap and clean water to prevent #Ebola

#EbolaOutbreakUG

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.