Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA KUWASHWA KWENYE NGOZI

 ?KUWASHWA KWENYE NGOZI.

Ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua watu wengi siku hizi,bila kujali umri au jinsia.


ZIPO SABABU MBALI MBALI KITAALAM AMBAZO HUCHANGIA HALI HII IKIWEMO; 


-Swala la allergy ambayo hutokana na vitu mbali mbali kama Maji(ya kisima,mvua n.k), baadhi ya mafuta ya kula,vyakula kama aina ya flani ya nyama mfano ya mbuzi,ng’ombe,kuku n.k. KUNA WATU WANA ALLERGY KUTOKANA NA VITU HIVI.


-Swala lingine ni Magonjwa kama FANGASI YA NGOZI, AU DAMU.ambayo hii matokeo yake huonekana moja kwa moja kwenyengozi na hali ya miwasho isiyoisha hujitokeza.


KAMA UNAPATA MUWASHO WA NGOZI AU SEHEM ZA SIRI PIA,TUWASILIANE +255758286584 UPATE MSAADA.

Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.