DALILI ZA UGONJWA WA MALARIA(chanzo,dalili na tiba)
Ugonjwa wa Malaria
Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu dalili za Ugonjwa wa Malaria,chanzo cha Ugonjwa wa malaria pamoja na matibabu ya ugonjwa wa malaria.
CHANZO CHA UGONJWA WA MALARIA
Ugonjwa wa Malaria ni ugonjwa ambao husababishwa na vimelea vya magonjwa viitwavyo Plasmodium.
Vimelea hivi vipo vya aina mbali mbali kama vile;
- Plasmodium vivax,
- plasmodium malariae,
- plasmodium falciparum,
- Pamoja na plasmodium ovale
Vimelea hivi huenezwa na mbu jike aina ya anofelesi (anopheles). Lakini watu wengi huelewa kwamba malaria husababishwa na mbu. Mbu huyu husaidia katika usambazaji tuu wa vimelea husika.
•Soma: Ugonjwa wa Tezi Dume, chanzo,Dalili zake pamoja na Matibabu yake
DALILI ZA UGONJWA WA MALARIA NI PAMOJA NA;
1. Joto la mwili la mgonjwa kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
2. Mgonjwa kuhisi kichefuchefu pamoja na kutapika
3. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa
4. Mgonjwa kuhisi hali ya kizunguzungu kikali
5. Hamu ya kula au appetite ya chakula kupotea
6. Wakati mwingine mgonjwa kutoa jasho sana
7. Mgonjwa kuwa na dalili zote za kuchanganyikiwa au kuweweseka sana wakati malaria ikiwa kali
Hizo ndyo baadhi ya dalili za Ugonjwa wa Malaria
VIPIMO vya Ugonjwa wa Malaria;
Moja ya vipimo ambavyo hutumika kupima ugonjwa wa Malaria ni pamoja na kipimo cha Damu kwa kutumia kifaa kinachoitwa MRDT.
MATIBABU YA UGONJWA WA MALARIA
Mgonjwa wa malaria hutibiwa baada ya kufanyiwa vipimo kwa kutumia dawa mbali mbali kama vile; ALU au mseto, Malaffin, Quinine N.K
•Soma: Ugonjwa wa Tezi Dume, chanzo,Dalili zake pamoja na Matibabu yake
Hitimisho
Ugonjwa wa Malaria ni ugonjwa ambao husababishwa na vimelea vya magonjwa viitwavyo Plasmodium.
Vimelea hivi vipo vya aina mbali mbali kama vile;
- Plasmodium vivax,
- plasmodium malariae,
- plasmodium falciparum,
- Pamoja na plasmodium ovale
Zipo dalili mbali mbali za Ugonjwa wa Malaria ikiwemo;
1. Joto la mwili la mgonjwa kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
2. Mgonjwa kuhisi kichefuchefu pamoja na kutapika
3. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa
4. Mgonjwa kuhisi hali ya kizunguzungu kikali
5. Hamu ya kula au appetite ya chakula kupotea
6. Wakati mwingine mgonjwa kutoa jasho sana
7. Mgonjwa kuwa na dalili zote za kuchanganyikiwa au kuweweseka sana wakati malaria ikiwa kali
Hizo ndyo baadhi ya dalili za Ugonjwa wa Malaria
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.