Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA KUTOA MATE MENGI MDOMONI WAKATI UMELALA Hadi kuchafua Shuka Na Jinsi ya Kuzuia

MDOMO

• • • • •

CHANZO CHA KUTOA MATE MENGI MDOMONI WAKATI UMELALA Hadi kuchafua Shuka Na Jinsi ya Kuzuia

Watu wengi hupatwa na tatizo hili la kutoa mate mengi mdomoni wakati wamelala hadi kuchafua shuka, bila kufahamu chanzo chake na Jinsi ya kuzuia shida hii,

Ingawa watoto wadogo huweza kuathiriwa zaidi lakini hata watu wazima wengi hupatwa na hali hii

CHANZO CHA KUTOA MATE MENGI MDOMONI WAKATI UMELALA

1. Kulala vibaya; Tafiti zinaonyesha watu wengi wanaolala vibaya hasa wanaolalia tumbo wakati wa Usku hupatwa na tatizo hili

2. Kuwa na tatizo lolote linalohusu kuziba kwa pua kama vile; kuota nyama za puani, kuwa na shida ya MAFUA n.k

3. Kuwa na tatizo linalohusu content za tumboni kupanda juu yaani kwa kitaalam hujulikana kama Gastrointenstinal reflux disorder(GERD)

4. Matumizi ya baadhi ya dawa kama vile Clozapine na dawa za ugonjwa wa Alzheimer’s

5. Kupatwa na tatizo la kushindwa kumeza kitu wakati wa kula

6. Tatizo la kupata shida ya upumuaji wakati umelala

N.k

Kumbuka; Kwa baadhi ya watu tatizo hili huisha kabsa baada ya kubalisha staili ya kulala hasa kwa wale wanaopenda kulalia Tumbo

•Soma:MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI pamoja na Sababu hatarishi za kupata Fangasi hawa

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.