Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Masaa ya kulala binadamu,Soma hapa kufahamu

Masaa ya kulala binadamu,Soma hapa kufahamu

Katika Makala hii tumechambua kuhusu muda au masaa sahihi ambayo hutosha kabsa kulala kiafya, soma hapa Masaa ya kulala binadamu.

Masaa ya kulala binadamu

Muda Sahihi kiafya kwa Ajili ya Kulala ni upi?

Baada ya kukutana na maswali kutoka kwa watu wengi hasa wale ambao hushauriwa kuhusu kupata muda wa kutosha wa kulala,baada ya kuonekana madhara mbali mbali yanayosababishwa na kukosa usingizi,

Watu hawa wamekuwa wakipata shida kuhusu ni muda gani wa kutosha kwa ajili ya kulala kiafya au unatakiwa ulale masaa mangapi bora kwa afya,

Masaa ya kulala binadamu, Hapa tumekupa Majibu ya Swali hii,

Masaa ya kulala binadamu

Kwa mujibu wa machapisho mbali mbali na wataalam mbali mbali wa afya, haya hapa ni Masaa ya kulala binadamu ambayo ni bora zaidi kwa afya kulingana na umri;

• Kuzaliwa mpaka miezi 3: Masaa 14 mpaka 17

• Miezi 4 mpaka 11: Masaa 12 mpaka 16

• Mwaka 1 mpaka 2: Masaa 11 mpaka 14

• Miaka 3 mpaka 5: Masaa 10 mpaka 13

• Miaka 6 mpaka 12: Masaa 9 mpaka 12

• Miaka 12 mpaka 18: Masaa 8 mpaka 10

• Miaka 18 mpaka 64: Masaa 7 mpaka 9

• Miaka 65 na kuendelea: Masaa 7 mpaka 8.

FAQs; maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, Masaa ya kulala binadamu ambayo yanatosha kiafya ni mangapi?

haya hapa ni Masaa ya kulala binadamu ambayo ni bora zaidi kwa afya kulingana na umri;

  • Kuzaliwa mpaka miezi 3: Masaa 14 mpaka 17
  • Miezi 4 mpaka 11: Masaa 12 mpaka 16
  •  Mwaka 1 mpaka 2: Masaa 11 mpaka 14
  • Miaka 3 mpaka 5: Masaa 10 mpaka 13
  •  Miaka 6 mpaka 12: Masaa 9 mpaka 12
  •  Miaka 12 mpaka 18: Masaa 8 mpaka 10
  • Miaka 18 mpaka 64: Masaa 7 mpaka 9
  • Miaka 65 na kuendelea: Masaa 7 mpaka 8.

Hitimisho

Kwa Ujumla,unatakiwa kufahamu kwamba Usingizi ni muhimu sana kwa afya yako,

Hakikisha unapata muda wa kutosha kwa ajili ya kulala,

Kama tulivyoorodhesha baadhi ya Masaa ya kulala binadamu ambayo ni bora zaidi kwa afya kulingana na umri wa mtu,

Ni matumaini yangu kwamba,hii imekupa mwanga juu ya kufahamu kuhusu muda wa kulala ambao ni bora zaidi kwako.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.