Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Aina ya magonjwa ya ngozi,Soma hapa kufahamu

Aina ya magonjwa ya ngozi,Soma hapa kufahamu

Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo hutokea Mara nyingi Zaidi kwa watu mbali mbali.

Aina ya magonjwa ya ngozi

Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo hutokea kwa watu wengi ni pamoja na;

– Tatizo la Chunusi(Acne),

Watu wengi hupata tatizo la chunusi kwenye ngozi hasa Usoni,

– Ugonjwa wa Pumu ya ngozi-Atopic dermatitis (eczema),

Hii ni mojawapo ya Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo hutokea kwa watu wengi

– Tatizo la Psoriasis, ambalo hupelekea ngozi kuwa kavu zaidi,ngozi kuwa na magamba n.k

– Ugonjwa wa fangasi kwenye Ngozi, Hii pia ni mojawapo ya Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo hutokea mara nyingi zaidi

– Tatizo la Rosacea, tatizo ambalo huhusisha ngozi kuwasha, ngozi kuwa nene/kuvimba kuwa na chunusi, kwa kawaida kwenye uso n.k

– Ugonjwa wa Saratani ya Ngozi(Skin cancer),

Saratani kama vile Basal cell carcinoma ni miongoni mwa Saratani za ngozi ambazo huwapata watu wengi,

Hivo basi, Saratani ya ngozi ni mojawapo ya Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo huwapata watu wengi.

Ugonjwa wa Vitiligo, ambao hupelekea mtu kuwa na mabaka baka meupe kwenye ngozi yake,

Ugonjwa wa Vitiligo ni miongoni mwa
Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo huwapata watu mbali mbali.

• Soma Zaidi hapa kuhusu Ugonjwa wa Vitiligo

– Ugonjwa wa Lupus, Pia Ugonjwa huu wa Lupus huweza kuathiri ngozi yako na kusababisha madhara mbali mbali kwenye ngozi kama vile;

  • Ngozi kuwa na mabaka baka mekundu au mashilingi
  • Ngozi kuwa na upele n.k

– Aina nyingine ya magonjwa ya ngozi ni pamoja na;

  • Tatizo la Cellulitis
  • Tatizo la Warts hasa kwenye mikono au Miguu,kutokana na maambukizi ya kirusi cha human papilloma virus(HPV)

Hizi ndizo baadhi ya Aina ya magonjwa ya ngozi ambayo hutokea mara kwa mara.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.