Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KALENDA NA MZUNGUKO WA HEDHI

 ?KALENDA NA MZUNGUKO WA HEDHI

Tazama Picha Hii hapa Chini;



Naomba Tuwekane Sawa kuhusu Picha hii ambayo Wengi Wanaitumia.  Picha hii imetumika Tu kuelezea Mzunguko wa Hedhi hasa kwa Mwanamke ambaye Mzunguko wake ni Siku 28.  Nmepata Maswali Mengi sana kuhusu hii picha,naomba usome kwa Makini ili uweze kuelewa.

Mzunguko uliotumika hapa katika picha hii ni wa Siku 28. Sio kila Mtu anaweza kutumia Picha hii kumsaidia kujua na kuelewa vizuri mzunguko wake wa Hedhi.

Hivo basi, Endapo Mzunguko wako wa Hedhi ni Mrefu namaanisha zaidi ya Siku 28 au ni Mfupi yaani Chini ya Siku 28. Inabidi ufundishwe upiwa na kupewa maelekezo ya kutosha ili uweze kuelewa Mzunguko wako wa Hedhi vizuri ikiwemo siku za Hatari n.k

KUMBUKA; Lazima tufanye mahesabu upya na kukuelekeza vizuri kuhusu Mzunguko wako wa Hedhi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.