Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YA KUFANYA PUNYETO(MASTERBATION)

➡️ MADHARA YA KUFANYA PUNYETO(MASTERBATION)

Punyeto ni tendo la kutomasa uume ili kujisisimua kimapenzi hadi kufikia kileleni (climax). Pia ni tendo la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi.

MADHARA YA UFANYAJI MASTERBATION ❤PUNYETO 

huambatana na madhara makubwa ya kiafya na leo tutaangalia madhara kumi ya kujipa raha mwenyewe kwa kutumia muono wako au kwa jina Jingine “PULI”

.

.

❤1. punyeto humfanya mtu  awe mlegevu bila kuwa na nguvu kabisa mda wote kwani nguvu nyingi hutumika kwenye tendo hilo kuliko hata nguvu zinazotumika zinapokutana nyama kwa nyama.

.

.

❤2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni…. (Premature ejaculation)

anaweza akajikuta akigusa tu “nanii” ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.

.

.

❤3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao.

. .

❤4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low sperm count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta mtoto.

. ❤5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi.

. ❤6. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi (addiction).

. ❤7. Punyeto husababisha mwanamke au mwanamume kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano..

.

. ❤8. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya Zinaa kama Gono, kaswende na Ukimwi kirahisi sana.

.

.

.

❤9. Husababisha msongo mkubwa wa. mawazo kwani mara nyingi kila umalizapo tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutorudia tena lakini ikifika mida Fulani “sabuni kama kawa”

. ❤10. Kijana kuondokwa na haja ya kuoa au kuolewa kwani anachokitaka anahis anakipata na kupelekea kushindwa kuandaa familia yake 

.

❤Amua sasa kuacha mchezo huo mchafu

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.