Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

YAI LA MWANAMKE NA MBEGU YA MWANAUME

 Yai la mwanamke(ovum) linapotoka kwenye vifuko vyake(ovaries) ambapo kitendo hicho kitaalam huitwa “OVULATION” na kuingia kwenye mirija ya uzazi yaani Fallopian tubes,Ndipo huanza kukutana na mbegu za kiume(Sperms) na hatua ya kwanza ya kutengeneza mtoto huanzia hapo(FERTILIZATION).

Siku ambapo yai linatoka kwenye vifuko vyake,ndyo tunaita SIKU YA HATARI-Tukiwa na maana kwamba ni siku ambayo mwanamke anaweza kupata MIMBA.

JE UNAZIJUA SIKU ZA HATARI KWAKO?

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.