Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ANZA ASUBUHI YAKO NA ULAJI WA VYAKULA VYA PROTEIN

PROTEIN

• • • • • •

Watu wanaokula chakula kingi asubuhi kuliko usiku,huwa na nafasi nzuri ya kupunguza uzito wa mwili.Wale wanaokula kiasi kikubwa cha chakula kabla ya kulala huongeza nafasi ya kupata obesity (uzito uliozidi).Kiafya,inashauriwa ule chakula kingi asubuhi kuliko usiku.


Pia,ni vyema kupata mlo wa usiku saa 2 hadi 3 kabla ya kwenda kitandani kulala.Kula chakula hapohapo kisha unapumzika ni miongoni mwa sababu zinazopelekea watu kupata ongezeko la uzito pasipo kuelewa chanzo chake ni nini,ni lazima kuruhusu taratibu za awali za mmeng’enyo wa chakula zifanyike kabla hujaamua kupumzika

Unapoanza siku yako kwa kula chakula chenye utajiri mwingi wa protini husaidia kukufanya ujisikie umeshiba kwa muda mrefu.Hii itandoa uhitaji wa kula mara kwa mara hasa nyakati za mchana.Mfano wa vyakula hivyo ni maziwa,nyama ya kuku,samaki,mayai,dairy products kama yoghurt na cheese,karanga,korosho,maharage,maharagwe,broccoli,parachichi,ndizi,maboga (hasa mbegu zake) na supu (ng’ombe,mbuzi n.k)


Via sainiyaafya



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.