Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO,DALILI,MADHARA NA MATIBABU YA TEZI DUME

TEZI DUME

• • • • • •

・・・

Kila mwanaume yupo kwenye risk ya kupata tezi dume jinsi umri unavyo ongezeka kuanzia umri wa miaka 35 huanza kukua tena kwa speed 


Wanaume mnaweza kuwa shahidi kupungua kwa speed na Nguvu ya mkojo jinsi umri unavyoongezeka (peak urinary flow rate)


Dalili za mtu aliyeathirika – Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

– Miguu kuwa dhaifu

– Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

– Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa

– Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)

– Tumbo kuja gesi mara kwa mara


MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.


Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.


Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:

– Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.

– Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa

– Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)

– Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)

– Ugumba (Infertility, Frigidity for men)

– Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume

-kuona damu imechanganyika na mkojo

-mkojo kuendelea kutoka hata baada ya kumaliza kukojoa (urine incontinence)

– Kifo


Epuka madhara yasababishwayo na tezi dume kwa kutumia ProstatRelax maalum kwa matatizo ya tezi dume bila operation… Tumia Kama tiba au kinga, Hii ni ya uhakika kabisa bora kwa afya yako!

Kama una tatizo hilo wasiliana nami sasa kwa Whatsap 0758286584 au kawaida kwa namba

0758286584

ili upate tiba hii ya ukweli na uhakika iliyokwisha saidia wengi wenye tatizo hili.




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.