Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHUMVI KUPANDISHA PRESHA

 ULAJI WA CHUMVI NYINGI NA PRESHA

Ulaji wa Chumvi nyingi huweza kuwa  miongoni mwa sababu kubwa za kupandisha presha yako.

Hasa hasa ile chumvi ya kuwekwa wakati chakula kimeshapikwa tayari kipo mezani, Hii ni kutokana na uwepo wa SODIUM kwenye mchumvi ambayo huweza kupandisha presha kwa haraka zaidi.

Kama una tabia hii acha kwa ajili ya afya yako

KUMBUKA;  Kinga ni bora zaidi kuliko Tiba

Kw ushauri zaidi,elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.