Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI HIZI KAMA UNA UVIMBE KWENYE KIZAZI

UVIMBE 

• • • • • •

Dalili hizi kama una uvimbe kwenye kizazi


1. Maumivu


➖Maumivu makali kabla au baada ya hedhi

➖Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

➖Maumivu ya tumbo, mgongo na maeneo ya mifupa ya kiuno (pelvis)

➖Maumivu unapotaka kwenda kujisaidia/kwenda haja

➖Maumivu ya miguu


2. Hedhi


➖Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, damu hiyo inaweza kuwa au kutokuwa na mabonge

➖Kuwa na hedhi ya muda mrefu isivyo kawaida

Kupata hedhi kabla ya muda wa kawaida


3. Uke


➖Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa


4. Matatizo ya Kibofu na Utumbo


➖Kutokwa na damu maeneo ya Kibofu au Utumbo

Kubadilika kwa hali ya utumbo i.e Kuwa na haja kubwa ngumu (constipation) na Kuharisha

➖Kukojoa mara nyingi isivyo kawaida


5. Kuvimba kwa tumbo wakati wa hedhi, kwaweza kuwa na maumivu au bila maumivu


6. Kuishiwa nguvu au uchovu wakati wa hedhi


Niambie kama una hizo dalili mpaka sasa


  Kama una hizo dalili hakikisha unafanya ultrasound ili kujihakikishia kwanza lakini kama umewahi kupima na ukakutwa na vimbe hizo basi usikate tamaa utapona tu!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.