Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAHAMU FAIDA 10 ZA MAZIWA MTINDI

MAZIWA TINDI

Bila shaka watu wengi hutumia Maziwa ya Mtindi,ila ukiwauliza kuhusu faida zake hawafahamu,

Kwa kuliona hilo,Leo tumekuchambulia baadhi ya Faida za kutumia maziwa mtindi kiafya.

FAHAMU FAIDA 10 ZA MAZIWA MTINDI

Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa hayo, 

Na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaha ya AFYA yako. 

[sc_fs_multi_faq headline-0=”h3″ question-0=”Je maziwa mtindi hayaruhusiwi kwa mama mwenye mimba?” answer-0=”Yanaruhusiwa hayana shida, tumia na Pata virutubisho kama ukitumia hupati shida yoyote,ila kama yanakuzidishia gesi tumboni,kiungulia n.k,unaweza kuacha.” image-0=”” count=”1″ html=”true” css_class=””]

1-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.

2- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.

3-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.

4-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.

5-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.

6-Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k..

7-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k..

8-Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.

9-Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.

10-Maziwa mtindi yana virutubisho vingine kama vile: Madini ya calcium,n.k

Hakikisha unakunywa glass moja kila siku kwa afya bora.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.