Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

JE MAMA MJAMZITO ANARUHUSIWA KUFANYA MAPENZI?

JE MAMA MJAMZITO ANARUHUSIWA KUFANYA MAPENZI?

Mama mjamzito ambae Hana Tatizo lolote la kuhatarisha usalama wa MIMBA,anaruhusiwa kufanya  sex tangu anapata mimba mpaka siku anapata uchungu au anapasuliwa.


Lakin kuna hali hizi hapa Chini mama mjamzito hatakiwa kufanya sex au anatakiwa kufanya sex kwa umakin Zaid.


1.mwanamke anaetoka damu ukeni

2.mwanamke ambae chupa imepasuka anatoka ‘MAJI’ sio yale maji maji ya uken hapana,maji ya kwenye Chupa.


3.mwanamke ambae shingo ya kizazi haipo imara yaan ana cervical incompetence.


4.mwanamke ambae kondo lake limekalia chini yaan placenta praevia


5.mwanamke ambae mimba zinatoka mara kwa mara au anajifungua kabla ya wakati umakini na ushauri wa dr wapaswa zingatiwa kulingana na hali.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.