Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KISUKARI HUSABABISHA VIDONDA VISIVYOPONA NA KUKATWA MIGUU

KISUKARI

• • • • • •

KISUKARI HUSABABISHA VIDONDA VISIVYOPONA NA KUKATWA MIGUU


✍?Vidonda vya miguuni (diabetes foots). Ugonjwa wa kisukari huathiri miguuni hasa pale unapopata ganzi inapelekea kushidwa kuhisi maumivu hivyo hata ukipata jeraha au mchubuko unakuwa huhisi maumivu ya aina yoyote unakuwa hauna tofauti na aliechomwa sindano ya ganzi kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji,


vidonda vya mtu mwenye kisukari ni vigumu sana kupona kwa sababu damu inakuwa haifiki ya kutosha kwenye kidonda. 


✍?Asilimia kubwa bacteria wabaya

huanza kukishambulia kwa kasi kwa sababu kinakuwa ni kitamu.


✍?Kidonda kinaonekana kuwa na malengelenge ya mafuta na hivo bacteria hushambulia kwa kasi na kusababisha kuongezeka kwa kidonda na mwishoe kukatwa endapo hatawahi huduma mapema ya kujikinga.


✍?Huna haja ya kusubiri kusababisha madhara Makubwa. Anza tiba, Okoa Mwili. 



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.