Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

MADHARA YA KUWEKA NYWELE DAWA

 YAPI NI MADHARA YA KUWEKA NYWELE DAWA?

➡️ Dawa za Nywele
 
Moja ya Fashion kubwa siku hizi ni kuweka Nywele Dawa kwa akina Dada, Zipo aina Nyingi sana za Dawa za Nywele,huku zingine zikionyesha Madhara ya Moja kwa Moja kabsa.
 
Je kuweka Dawa ni afya Kwa Mtumiaji?
 
Moja ya Madaktari kutoka katika hospital ya ILALA nchini Tanzania “DR. LAUREN CHIPATA” alifanya utafiti na kugundua kwamba Dawa za Nywele Pamoja na Vipodozi vyenye Kemikali vinazalisha kwa Wingi Kemikali inayochochea kwa kiwango kikubwa Uzalishaji wa Kichocheo aina ya OESTROGEN mwilini ambacho huchangia kwa Kiasi kikubwa Sana Mwanamke kupata Uvimbe kwenye Kizazi au Ukuaji wa FIBROIDS au MYOMA.
 
Namnukuu…!!!
 

Kemikali hizi hupenya kwenye ngozi, na wakati mwingine hata kwa harufu tu unayovuta ya kemikali hizi,na kusababisha uzalishaji wa vichocheo vya oestrogen kwa wingi na kuleta fibroids”-anasema Dk. Chipata

 

Hivo basi, Kutokana na Utafiti huo,Matumizi ya Dawa za Nywele sio salama kwa afya ya Mwanamke,kwani humuweka katika Hatari ya kupata Uvimbe wa Kizazi ( FIBROIDS) au Myoma.

KUMBUKA; Kinga Ni Bora kuliko tiba, kwahyo ni bora kuepuka vitu ambavyo huweza kukuletea madhara makubwa katika afya yako.

Kama pia unapata dalili kama;

– Maumivu wakati wa Tendo la Ndoa

– Kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa

– Maumivu makali chini ya kitovu

– Kublid katikati ya mwezi

Waone wataalam wa afya kwa ajili ya Uchunguzi zaidi.

 Soma pia Utafiti huu kuhusu madhara ya Dawa za Nywele.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.