Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA TATIZO HILI LA OSTEOPOROSIS

OSTEOPOROSIS

• • • • • •

MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA TATIZO HILI LA OSTEOPOROSIS

 Maumivu makali ya mifupa ktk Magoti, Uti wa mgongo, mabegani, kifuani au ktk nyonga ~ kupinda mgongo hasa wakati wa uzeeni ~ Kuvunjika mifupa kwa urahis.. 

MATIBABU YA OSTEOPOROSIS

 ~ Kula kwa wingi chakula chenye kiasi kikubwa cha vitamin D na chenye madini ya Calcium mfano Maziwa, Ubuyu, Moringa Oleifera leaves n.k. 

~ Tumia dawa za asili zinazofanya homoni za estrogens kuwa sawia (kwa wanawake )

 ~ Tumia dawa zitakazokusaidia kukupatia madini ya calcium ya kutosha na itakayo weleza kuimarisha mifupa. 

~ Mafuta ya samaki na samaki wa maji baridi kwa wingi upate fatty acid.

 ~ mafuta ya nazi ni. Mazuri kwa mifupa.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.