Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

NJIA RAHISI ZA UZAZI WA MPANGO WA ASILI USIO NA MADHARA

UZAZI

• • • • • •

NJIA  RAHISI ZA UZAZI WA MPANGO WA ASILI USIO NA MADHARA.


1️⃣. KUTUMIA  KALENDA 

Mara nyingi mayai ya mama hupevuka kuanzia ck ya 11 had 18 Mara tu amalizapo period. Ila inategemea na mzunguko wa mtu. Hvyo ni vyema kama mnahitaji kupanga uzazi mkatumia kalenda kujikinga hii huwa haina madhara yoyote. Na nyepes kulko zote Ila umakn uhtajika kwasabb mbegu za kiume hukaa mpaka ck 5 kabla ya kufa


2️⃣. JUISI YA MAJIVU. 

wengi mtashangaa kusikia juisi ya majivu lakini pia majivu kutumika kama njia ya uzazi wa mpango. Kuna baadhi ya nchi hutumia majivu kutolea mimba na pia kupanga uzazi. Hapa nitawaeleza kupanga uzazi chukua glass iweke maji nusu alaf nusu iliyobaki weka majivu ikoroge iache ijichuje majivu yakirud chini chukua hayo maji kunywa. Hii INA ukakasi kidogo hivyo katika kunywa usiisikilizie. 


3️⃣. KUTOA MBEGU NJE

Hii ni wanaume wachache ambao wanafaulu ambapo inatakiwa mwanaume asiruhusu mbegu zake ziingie ukeni. Inahitaji umakini sana maana huu ndio muda mwanaume anakuwa anakaribia kufika kileleni, sasa anatakiwa ajihadhari mapema sana kabla hajakaribia. Japo njia hii ni ngumu kwa mwanaume ambaye hajawahi kujaribu


4️⃣. MAJI YA BARIDI 

Kunywa lita moja ya maji ya baridi sana baada ya tendo la ndoa husababisha mwanamke asipate ujauzito. Yaani ni kitendo cha haraka sana unapomaliza tu tendo hapo hapo unywe maji ya baridi sana.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.