Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UNAWEZA KUJUA MIMBA IMEINGIA AU LA, MARA TU BAADA YA TENDO LA NDOA?

SEX

• • • • • •

UNAWEZA KUJUA MIMBA IMEINGIA AU LA, MARA TU BAADA YA TENDO LA NDOA?


Watu wengi hawafahamu hili na wengine husema kua anaweza kufahamu kama amepata mimba wakati wa tendo la ndoa au muda mchache baada ya tendo la ndoa..


Lakini kiukweli huwezi kufahamu kua mimba imeingia au la muda mfupi baada ya tendo la ndoa ,inachukua muda wa siku mpaka sita  kwa hatua ya kwanza kukamilika ambayo huhusisha yai la kike kuungana na mbegu ya kiume kutengeneza kijusi,na hapo bado huwezi sema ni mjamzito na wala huwezi kufahamu,hatua ya pili itachukua tena siku 7-10 kwa kijusi kujishikiza katika ukuta wa kizazi na hapo ndipo hormone ya Human chorionic gonadotrophin(HCG) hutolewa,na hormone hiyo ndiyo huonesha kua ni mjamzito. ~Mara nyingi utaweza kugundua kua ni mjamzito kwa kipimo cha mkojo siku 14 baada ya mimba kutungwa ..


na ndio maana unaweza kutumia dawa za dharura za kuzuia tutungwa mimba hata ndani ya siku 1-4 baada ya tendo la ndoa japo ufanisi wa kuzuia mimba hupungua kadri muda unavyoongezeka.





Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.