Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UNYWAJI WA MAZIWA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO

MAZIWA+VIDONDA VYA TUMBO

• • • • • •

Hii ikotofauti kidogo na jinsi inavyoamika kwa watu wengi,maziwa hayana faida yoyote katika kutuliza maumivu au hata kutibu vidonda vya tumbo. Maziwa hutengeneza utando kwenye sehemu za tumbo zilizo jeruhiwa hivyo kufanya maumivu haya ya tumbo yapungue kwa muda mchache,lakini huwa na tabia ya kusisimua uzalishwaji wa tindikali za tumboni (Hydrochloric acid) ambayo baada ya kuisha kwa utando uliotengenezwa na maziwa husababisha maumivu makali zaidi kwa wagonjwa.


Hii ndiyo sababu inayofanya wagonjwa wa vidonda vya tumbo wapitie kipindi cha maumivu makali sana ya tumbo,hasa saa chache hasa baada ya kunywa maziwa Kwa kuwa maziwa ni mojawapo ya vyanzo vya virutubisho bora kabisa kwa binadamu,na baadhi ya watu hawawezi kabisa kuacha kutumia hivyo basi ni vyema yakatumika baada ya kupata mlo mwingine (baada ya kushiba vyakula vingine). Kumbuka kuwa hata wakati huu pia yasitumike mengi sana, pia hakikisha hutumii wakati una njaa kali kwani faida ni chache kuliko ukubwa wa maumivu utakayopata! Via drngimi

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.