Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

YAJUE MAGONJWA 10 YANAYOWASUMBUA SANA WANAWAKE

 HII NI ORODHA YA MAGONJWA 10 YANAYOWASUMBUA SANA WANAWAKE

 
1. Ugonjwa wa UTI ambao huambatana na dalili kama Mkojo kuchoma wakati wa kukojoa,
maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto,kukojoa mara kwa mara,homa,maumivu ya viungo,joint,mwili kuchoka sana n.k
 
2. Ugonjwa wa Fangasi ukeni ambao huambatana na miwasho,kutokwa na uchafu kama maziwa n.k
 
3. Matatizo ya hedhi kama vile,Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi,hedhi kutokuwa na mpangalio maalumu,
kublid kwa mda mrefu mfano zaidi ya wiki mbili, kukaa mda mrefu bila kupata hedhi mfano zaidi ya miezi miwili,
kupata period nyeusi na yenye mabonge mabonge na nyama kama vipande vya maini n.k
 
4. Tatizo la uvimbe kwenye kizazi, vifuko vya Mayai, Pamoja na tatizo la Kuziba mirija ya Uzazi ambavyo huambatana na dalili kama,kutokwa na uchafu mwingi,
kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa,kutokwa na damu wakati wa kufanya mapenzi,maumivu chini ya kitovu n.k
 
5. Tatizo la PID (Pelvic inflammatory disease) au maabukizi katika via vya Uzazi vya Mwanamke ambao huambatana na dalili mbali mbali kama vile kutokwa na uchafu wenye rangi ya njano,maumivu chini ya kitovu,maji kutoka ukeni n.k
 
6. Tatizo la Hormone imbalance au kwa kiswahili Mvurugiko wa vichocheo vya Mwili ambapo huambatana na dalili mbalimbali kama vile;
kublid kwa mda mrefu,mvurugiko wa period, kukosa hedhi kabsa,kukosa ute wa ovulation,mimba kuharibika n.k
 
7. Tatizo la Mimba kuharibika zenyewe na kushindwa kubeba mimba ambapo husababishwa na sababu mbalimbali kama vile mvurigiko wa vichocheo mwilini n.k
 
8. Ugonjwa wa kuota kinyama ukeni au viupele kwa kitaalam hujulikana kama Genital warts
ambapo tatizo hili linawapata wanawake wengi sana siku hizi,ambapo maambukizi haya husabanishwa na kirusi aina ya Herpes zoster
 
9. Kansa au Saratani ya Kizazi na saratani ya shingo ya Kizazi-Cervical Cancer ambapo husababishwa na kirusi kijulikanacho kama HUMAN PAPILLOMA VIRUS(HPV),
na kuambatana na dalili mbalimbali kama vile kutokwa na damu wakati wa mapenzi,majimaji kutoka ukeni n.k
 
10. Kansa au Saratani ya Matiti– Breast Cancer ambapo huambatana na dalili mbalimbali kama vile chuchu kutoa usaha,damu,chuchu kuingia ndani,
kuwa na viti vigumu kwenye titi mithili ya punje ya harage au mchele wakati ukishika,ziwa kuwa kubwa n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.