Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

AFYA YA KINYWA NA MENO(nukuu ya leo)

 MENO

• • • •

AFYA YA KINYWA NA MENO(nukuu ya leo)


Afya ya kinywa pamoja na meno hutegemea sana na hali ya usafi wa kinywa pamoja na meno.


Hivo safisha meno pamoja na kinywa kwa kutumia Mswaki, dawa ya meno, pamoja na maji safi kila mara baada ya kula chakula


Tabia hii itakusaidia katika kujikinga na vimelea vya magonjwa kama bacteria ambavyo huweza kushambulia na kuharibu meno yako


Mlundikano wa chakula pamoja na mabaki yake kwenye meno kila siku, hutengeneza mazingira mazuri kwa wadudu kuzaliana na kuanza kushambulia meno yako


Kitendo ambacho hupelekea meno yako kuoza, kutoboka pamoja na kuwa na tatizo la ugonjwa wa meno



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.