Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHAKULA NA AFYA WAKATI WA ASUBUHI(ijenge afyabora)

 CHAKULA NA AFYA

• • • •

CHAKULA NA AFYA WAKATI WA ASUBUHI(ijenge afyabora)



Watu wengi hawajui kwamba unatakiwa ule vizuri sana asubuh hata kuliko mlo wa mchana na Usku. 


Badala yake,watu hula asubuh vibaya au kutokula kabsa wakati wa asubuh,alafu ndyo mchana wale chakula  na usku ndyo wanakula chakula kingi sana


Ni sawa kabisa kuamka asubuhi na njaa na kuanza na kitu kizito kama Ugali..

.

Kuliko kuamka asubuhi na kiporo cha wali maharagwe

.

Pika ugali wa oats  au dona ni salama zaidi kuliko kiporo cha wali




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.