Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA(Ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Hypoglycemia)

 SUKARI

• • • • •

DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA( Ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Hypoglycemia)


Kwa kawaida tunaweza kusema sukari ya kushuka ni ugonjwa ambao huhusisha kuwepo kwa kiwango kidogo cha sukari kwenye damu chini ya Wastani wa kawaida, Mfano; Chini ya 3.9mmol/L .


DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA NI PAMOJA NA;


– Mgonjwa kupatwa na hali ya moyo kwenda mbio


– Mgonjwa kupata uchovu sana


– Mgonjwa  kupatwa na hali ya kutoa jasho sana


– Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa


– Mgonjwa kupatwa na shida ya kuona vizuri

N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.