Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA MASSAGI MWILINI(afya bora)

 MASSAGI

• • • • •

FAIDA ZA MASSAGI MWILINI(afya bora)


Kwa hivi siku za karibuni, kwa hapa kwetu, Swala la kufanyiana massagi ndyo linapamba moto japo kwa wenzetu nchi zilizoendelea ni kitu cha muda mrefu kwao.


Kuna faida nyingi kiafya endapo utakuwa unafanya massagi kwenye mwili wako mara kwa mara


FAIDA ZA MASSAGI MWILINI NI PAMOJA NA;


1. Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye viungo na maeneo mbali mbali ya mwili wako


2. Husaidia katika kuboresha afya ya seli hali za mwili


3. Husaidia katika kulainisha ngozi ya mwili pamoja na afya ya ngozi


4. Husaidia kuleta afya ya misuli ya mwili pamoja na misuli hyo kuwa imara zaidi


5. Husaidia kupunguza msongo wa mawazo au stress


6. Husaidia kupungua au kumaliza kabsa maumivu makali ya kichwa


7. Huleta furaha na msisimko mkubwa kwa mhusika


8. Husaidia kupunguza shinikizo la damu


9. Husaidia kuimarisha afya ya mishipa ya damu


N.K



KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.