Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI

UKIMWI

• • • • •

 ?HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI


?Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2019 watu wapatao million 40 wanaishi na VVU


?Kwa mwaka 2019 pekee kumekua na maambukizi mapya ya VVU yapatayo million 2 


?Kwa mwaka 2019 pekee watu wapatao 900000  wenye VVU walipoteza maisha


?Watu wapatao milioni 25 wenye VVU mpaka kufikia mwishoni wa mwezi juni 2020 wanatumia dawa za ARV


?Watu wapatao milioni 100 wameambukizwa VVU toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981


?Watu wapatao milioni 40 wenye VVU wamepoteza maisha toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981


?Kila wiki wanawake  5500 wenye umri kati ya miaka 15-25 hupata maambukizi mapya ya VVU


KWA TANZANIA


?Watu wapatao 200 hupata maambukizi mapya ya VVU kila siku


?Watu 8 hupata maambukizi ya VVU kila saa


Hii ni kwa mujibu wa TACAIDS na UNAIDS 2020


TUCHUKUE TAHADHARI. INAKUSUBIRI DUNIA NA INAKUTEGEMEA PIA.


KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.