Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TIBA YA UKE MKAVU PAMOJA NA CHANZO CHAKE(Tatizo kwa Wanawake wengi)

 UKE MKAVU

• • • • •

TIBA YA UKE MKAVU PAMOJA NA CHANZO CHAKE(Tatizo kwa Wanawake wengi)

Hili ni tatizo ambalo hutokea kwa wanawake wengi kwa hivi sasa, huku sababu mbali mbali zikihusishwa na tatizo hilo. Na miongoni mwa sababu za mwanamke kuwa mkavu ukeni ni pamoja na;

–  Mwanamke Kupatwa na maambukizi ya magonjwa mbali mbali kama vile; UTI,fangasi pamoja na maambukizi katika via vyake vya uzazi yaani Pelvic Inflammatory disease(PID)

– Tatizo la mvurugiko wa vichocheo mwilini yaani Hormone imbalance. Fahamu kwamba katika sehemu za siri za Mwanamke kuna Tezi ambalo hufanya kazi ya kuzalisha maji maji,uteute na kuleta hali ya unyevu na ulaini ukeni,kwani sehemu za siri za mwanamke katika hali ya kawaida hazitakiwi kuwa kavu. 

Hivo basi mabadiliko ya vichocheo mwilini huweza kuathiri utendaji kazi wa tezi hili,kwani linafanya kazi chini ya udhibiti wa vichocheo vya mwili au hormones na kupelekea hali ya ukavu ukeni.

TIBA YA UKE MKAVU 

Matibabu ya shida ya uke mkavu hutegemea sana na chanzo chake; Mfano kama chanzo ni maambukizi ya magonjwa kama UTI,Mgonjwa atapewa dawa za kutibu UTI, kama chanzo ni shida ya vichocheo mwilini,basi mgonjwa atapewa dawa za kurekebisha vichocheo hivo N.K

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.