Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

VIRUSI VYA UKIMWI HUONEKANA BAADA YA MUDA GANI?(Swali la watu wengi,Majibu hapa..!!)

 KIPIMO CHA UKIMWI

• • • • •

VIRUSI VYA UKIMWI HUONEKANA BAADA YA MUDA GANI?(Swali la watu wengi,Majibu hapa..!!)

Je mtu baada ya kufanya mapenzi itachukua muda gani kupata majibu kwenye kipimo cha Ukimwi?

Kipimo cha Ukimwi maarufu kama Rapid Antibody Test hutoa majibu kwa zaidi ya 98% ya watu waliopima kwa kipindi cha Miezi mitatu(3),

japo wapo wachache ambao majibu huanza kuonekana kwenye kipimo cha Ukimwi hata kabla ya Miezi mitatu kuisha. 

Hiv basi kulingana na kuwa idadi kubwa ya Watu hupata majibu sahihi kuanzia Miezi mitatu wakipima kwenye kipimo hiki cha Ukimwi,

inashauriwa mtu baada ya kupima kwa mara ya kwanza arudie tena baada ya miezi mitatu ili kupata majibu sahihi.

KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.